Local,Normal News,Yanga, JKT

Yanga yatangulia fainali kombe la CRDB

Joel JJ By Joel JJ
β€’
18 May 2025
Yanga yatangulia fainali kombe la CRDB

Yanga imetinga fainali ya kombe la CRDB ikiichapa JKT Tanzania mabao 2-0 katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa uwanja wa Mkwakwani

Mabao ya Prince Dube na Mudathir Yahya aliyefunga bao la pili dakika za jiooooni, aliihakikishia Yanga kutinga fainali ya tano mfululizo ya michuano hiyo

Pengine ni mchezo ambao mabao mawili yalionekana machache kwa Yanga nafasi za wazi nyingi hazikubadilishwa mabao na Stephane Aziz Ki na Maxi Nzengeli ambao pengine leo kila mmoja angeweza kuondoka na mpira

Ilikuwa mechi ngumu iliyochangiwa na mazingira ya dimba la Mkwakwani lililoja maji kutokana na mvua kubwa iliyonyesha mapema mkoani Tanga

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
6m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
35m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’