Berkane yatwaa kombe la Shirikisho (CAF CC)

Joel JJ By Joel JJ β€’ 25th May 2025

Berkane yatwaa kombe la Shirikisho (CAF CC)

Simba imekosa kombe la Shirikisho (CAF CC) baada ya kulazimiswa sare ya bao 1-1 dhidi ya RS Berkane katkika mchezo wa pili wa fainali uliopigwa uwanja wa New Amaan Complex

Kulikuwa na kila dalili kwa Simba kupindua meza leo baada ya kufunga bao la mapema dakika ya 17 kupitia kwa Joshua Mutale ambaye leo alikuwa nyota wa mchezo

Kazi nzuri ya Steven Mukwala kutoka winga ya kulia krosi..... download Xtra 90 App

More Stories

Artan kuchezesha Fainali ya CECAFA Kagame Cup 2026
Artan kuchezesha Fainali ya CECAFA Kagame Cup 2026
Today, READ MORE β†’
Mpanzu akabidhiwa majukumu ya Doumbia Simba
Mpanzu akabidhiwa majukumu ya Doumbia Simba
Today, READ MORE β†’
Hersi atamba, Yanga haijamaliza kusajili bado mmoja
Hersi atamba, Yanga haijamaliza kusajili bado mmoja
Today, READ MORE β†’
Ridhiwani Kikwete Ajiunga na Baraza la Wadhamini la Yanga
Ridhiwani Kikwete Ajiunga na Baraza la Wadhamini la Yanga
Today, READ MORE β†’
Yanga watangaza bajeti ya Bilioni 36 kwa msimu wa 2026/27.
Yanga watangaza bajeti ya Bilioni 36 kwa msimu wa 2026/27.
Today, READ MORE β†’
Rc. Chalamila atangaza kujiunga na wananchi katika mkutano mkuu wa Yanga.
Rc. Chalamila atangaza kujiunga na wananchi katika mkutano mkuu wa Yanga.
Today, READ MORE β†’
Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Today, READ MORE β†’
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Yesterday, READ MORE β†’
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Yesterday, READ MORE β†’
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Yesterday, READ MORE β†’