Tanzania kujipima na Afrika Kusini

Joel JJ By Joel JJ β€’ 27th May 2025

Tanzania kujipima na Afrika Kusini

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itacheza mechi ya Kmataifa ya kirafiki dhidi ya Afrika Kusini. Mechi hiyo itapigwa Juni 6 katika kalenda ya FIFA

Kulingana na taarifa iliyotolewa na TFF, mchezo huo utapigwa Afrika Kusini katika mji wa Polokwane

Aidha huenda Stars ikacheza mechi nyingine dhidi ya Morocco

More Stories

Mpanzu akabidhiwa majukumu ya Doumbia Simba
Mpanzu akabidhiwa majukumu ya Doumbia Simba
Today, READ MORE β†’
Hersi atamba, Yanga haijamaliza kusajili bado mmoja
Hersi atamba, Yanga haijamaliza kusajili bado mmoja
Today, READ MORE β†’
Ridhiwani Kikwete Ajiunga na Baraza la Wadhamini la Yanga
Ridhiwani Kikwete Ajiunga na Baraza la Wadhamini la Yanga
Today, READ MORE β†’
Yanga watangaza bajeti ya Bilioni 36 kwa msimu wa 2026/27.
Yanga watangaza bajeti ya Bilioni 36 kwa msimu wa 2026/27.
Today, READ MORE β†’
Rc. Chalamila atangaza kujiunga na wananchi katika mkutano mkuu wa Yanga.
Rc. Chalamila atangaza kujiunga na wananchi katika mkutano mkuu wa Yanga.
Today, READ MORE β†’
Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Today, READ MORE β†’
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Today, READ MORE β†’
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Today, READ MORE β†’
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Yesterday, READ MORE β†’
Simba yaichapa Singida lakini timu zote zaaga mashindano
Simba yaichapa Singida lakini timu zote zaaga mashindano
Yesterday, READ MORE β†’