Klabu ya Singida BS imetishia haitacheza mechi ya nusu fainali ya kombe la CRDB dhidi y Simba iliyopangwa kupigwa Jumamosi May 31 endapo mchezo huo utachezeshwa na waamuzi wenye mashaka nao
Aidha klabu hiyo imeitaka Bodi ya Ligi/TFF kumchukulia hatua mwamuzi Elly Sasie kufuatia matukio ya kutoitendea haki timu hiyo katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa juzi Jumatano katika uwanja wa KMC..... download Xtra 90 App



