Florian Wirtz anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya Liverpool baada ya kufikiwa makubaliano ya awali na Bayer Leverkusen kwa ajili ya kiungo wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 22, kujiunga na Liverpool kwa thamani ya pauni milioni 127 ikiwa ni pamoja na nyongeza mbalimbali. (Fabrizio Romano)
Arsenal wamekubaliana ada ya takriban pauni milioni 59 na Real Sociedad kwa ajili ya kiungo wa..... download Xtra 90 App



