Local,Transfer News,Simba, Azam

Manula kutua Azam Fc

Joel JJ By Joel JJ
β€’
11 Jun 2025
Manula kutua Azam Fc

Klabu ya Azam Fc imekamilisha usajili wa mlinda lango wa Simba Aishi Manula kwa mkataba wa miaka miwili

Manula anakamilisha mkataba wake na Simba mwishoni mwa mwezi hivyo anajiunga na Azam Fc akiwa mchezaji huru

Kurejea Azam Fc kwa Manula ni kama amerejea nyumbani kwani Simba ilimsajili mwaka 2017 akitokea klabu hiyo

Manula ameitumikia Simba kwa takribani misimu nane akiwa kipa tegemeo kwa misimu sita mfululizo

Wanasimba watamkumbuka Manula kwa utumishi wake katika kipindi hicho licha ya kuwa hapa mwishoni aliingia katika mgogoro wa 'chinichini' na viongozi wa Simba baada ya tuhuma za kuhujumu katika mchezo dhidi ya Yanga msimu uliopita

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
44m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’