Local,Normal News,Yanga

Yanga yakomaa madai ya fedha za zawadi kombe la FA

Joel JJ By Joel JJ
β€’
11 Jun 2025
Yanga yakomaa madai ya fedha za zawadi kombe la FA

Mtendaji Mkuu wa Yanga Andre Mtine leo ameitikia wito wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuhakiki madeni pamoja na madai ya Yanga kulipwa fedha za ubingwa wa kombe la FA (CRDB)

Yanga imekuwa na malimbikizo ya madai ya zawadi ya ubingwa wa michuano hiyo kwa misimu mitatu

Mtine ameeleza msimamo wa Yanga ni kulipwa fedha hizo kwani wanahitaji kufanya maandalizi kuelea mchezo wa fainali, bila ya kulipwa hawawezi kuiandaa timu kwa ajili ya mchezo huo

"Tumefika hapa wakatuelekeza kwenda kuzungumza na wahasibu wao, tumewaeleza msimamo wetu, tunataka watulipe fedha zetu ili tuweze kuiandaa timu kwa ajili ya mchezo wa fainali"

"Masuala ya mahesabu ya madeni na mapato yatafanyika katika msimu husika, huwezi kuzuia pesa tunayostahili msimu huu kwa kusubiri madeni ya msimu ujao, mmesikia kitu kama hiki kikifanyika wapi?"

"Kama wana jambo lolote wanapaswa kututaarifu kwa maandishi, hatuwezi kuendeleza majibizano mitandaoni kwa sasa," alisema Mtine

Yanga imeendelea kushikilia msimamo wake wa kutocheza fainali dhidi ya Singida Black Stars Juni 28 kama haitalipwa fedha hizo

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
6m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
35m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’