Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imehitimisha safari yake katika michuano ya COSAFA kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Eswatini mabao ya Stars ykifungwa na Iddi Nado na Shekhan Khamis
Tanzania imemaliza katika nafasi ya pili kwenye Kundi C nyuma ya vinara Madagascar (Pointi 4) na mbele ya Eswatin (Pointi 1)
Kabla ya mechi mbili za COSAFA, Stars ilicheza mechi ya kirafiki dhidi..... download Xtra 90 App



