Klabu ya Simba imeweka wazi msimamo wake kuwa haitakubali mabadiliko yoyote ya tarehe ya mchezo namba 184 ligi kuu ya NBC dhidi ya Yanga ambao umepangwa kupigwa Juni 15 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Taarifa iliyotolewa na Simba jioni ya leo Alhamisi imebainisha msimamo huo huku wakisisitiza uongozi utapeleka timu uwanjani siku ya Jumapili wakiwataka mashabiki wa Simba kujitokeza kwa..... download Xtra 90 App



