Liverpool wanapanga kumsajili Victor Osimhen, 26, ambaye msimu uliopita alicheza kwa mkopo Galatasaray (Givemesport)
Bayer Leverkusen wameweka kipao mbele kwa beki wa kati wa Liverpool, Jarell Quansah, 22, ambaye anakadiriwa kuwa na thamani ya 40m (Athletic)
PSG hawatamruhusu mshambuliaji wa Ufaransa Bradley Barcola, 22, kuondoka msimu huu licha ya kusakwa na vilabu vya Liverpool na..... download Xtra 90 App



