Local,Normal News,Yanga, Simba

Bodi ya ligi yamaliza utata waamuzi wa dabi ya Kariakoo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
23 Jun 2025
Bodi ya ligi yamaliza utata waamuzi wa dabi ya Kariakoo

Bodi ya Ligi (TPLB) imewatangaza waamuzi wa mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga dhidi ya Simba utakaopigwa Jumatano, Juni 25 katika uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo waamuzi wote wanatoka nchini Misri

Kulingana na taarifa iliyotolewa na Bodi mapema leo, mchezo huo namba 184 utaamuliwa na waamuzi kutoka Misri ambapo Mwamuzi wa kati ni Amin Mohamed Amin Omar (Misri), mwamuzi msaidizi wa kwanza Mahmoud Ahmed Abo El Regal (Misri), Mwamuzi Msaidizi wa pili Samir Gamal Saad Mohamed (Misri), Mwamuzi wa akiba ni Ahmed Mahrous Elghandour (Misri), Kamishna wa mechi Salim Omary Singano (Tanga, Tanzania) na Mkaguzi wa waamuzi ni Alli Mohamed (Somalia).

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
4m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
33m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’