Simba yamaliza utata dabi ya Kariakoo

Joel JJ By Joel JJ β€’ 25th June 2025


Simba yamaliza utata dabi ya Kariakoo

Simba imemaliza utata wa Dabi ya Kariakoo baada ya kuweka taarifa za kuwa tayari kucheza mchezo huo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.

Simba ilikua kimya kwa muda mrefu kuhusu mchezo huo, hali ambayo iliibua maswali kwa mashabiki wengi waliokuwa wanataka kufahamu msimamo wa timu hiyo ya Msimbazi.

Katika mchezo huo, Simba itakuwa mgeni wa Yanga Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kuanzia saa 5:00 jioni.

Simba haikushiriki hatua zote za maandalizi kuelekea mchezo huo na hatimaye wameibuka mwishoni kuthibitisha ushiriki wao


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.