Local,Normal News,Yanga, Simba, Azam, Fountain Gate, Singida BS

Stars kuanza na Burkina Faso CHAN 2024

Joel JJ By Joel JJ
β€’
28 Jun 2025
Stars kuanza na Burkina Faso CHAN 2024

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeweka wazi ratiba ya michezo ya fainali za CHAN 2024, ambapo wenyeji Tanzania watafungua michuano hiyo kwa kuikabili Burkina Faso Uwanja wa Benjamim Mkapa Agosti 02, saa mbili usiku

Tanzania ipo Kundi B sambamba na timu za Burkina Faso, Madagascar, Mauritania pamoja na Jamhuri ya Afrika ya Kati.

Nchi jirani ya Kenya itaanza mchezo wake wa kwanza wa Kundi A kwa kuikabili DR Congo Agosti 03, saa tisa alasiri.

Timu nyingine zilizopangwa Kundi A ni Zambia, Angola na Morocco. Wenyeji wengine wa fainali hizo Uganda watarusha karata yao ya kwanza kwa kuikabili Niger Agosti 04, saa mbili usiku.

Timu nyingine zilizopangwa Kundi C ni Afrika Kusini, Algeria na Guinea.

Jana Kocha Mkuu wa Stars Hemed Morocco alitangaza mjina ya wachezaji 27 ambao wataweka kambi Misri kujiandaa na michuano hiyo

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
4h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
5h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
6h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’