Local,Transfer News,Simba

Ngoma aipa Simba Thank You

Joel JJ By Joel JJ
β€’
30 Jun 2025
Ngoma aipa Simba Thank You

Kiungo wa Simba Fabrice Ngoma amewaaga mashabiki baada ya mkataba wake wa miaka miwili na Wekundu hao wa Msimbazi kufika tamati

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Ngoma ametoa ujumbe huo wa kuaga na shukrani

"Namshukuru kila mmoja ambaye alinifanya mimi kujisikia nipo nyumbani nikiwa Simba. Shukrani zangu ziende kwa Salim Abdallah β€˜Try Again’ na Boss MO ambao walinileta mimi misimu miwili iliyopita."

"Shukrani kwa kocha, wafanyakazi na wachezaji ambapo kwa pamoja tulishirikiana katika chumba cha kubadilishia jezi. Hatujaweza kuyafikia baadhi ya malengo yetu, lakini kumbukumbu zitasalia akilini mwangu na moyoni"

"Kwenu mashabiki wa Simba, ahsanteni kwa ushirikiano, msiiache hii timu, nyakati nzuri zinakuja hasa kwa kupitia kocha kama Fadlu. Ahsanteni na kila la kheri” ameandika Ngoma

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
4h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
5h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’