Local,Normal News,Yanga, Simba

Karia mgombea pekee uchaguzi TFF

Joel JJ By Joel JJ
β€’
4 Jul 2025
Karia mgombea pekee uchaguzi TFF

Kamati ya Uchaguzi ya TFF Imewang'oa wagombea watano wa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kubaki na jina moja la Wallace Karia anayetetea kiti hicho.

Akitangaza ripoti ya usahili wa uchaguzi huo Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF Wakili Kiomoni Kibamba, amesema Karia ndiye mgombea pekee aliyekidhi vigezo na kwa mujibu wa Kanuni na kama kuna mtu anapingamizi bado ana nafasi ya kufanya hivyo

"Waliotia nia kugombea nafasi ya usais wa TFF walikuwa sita, mmoja hakuja kwenye usaili wakabaki watano, wanne wana mgogoro na kanuni na mgombea mmoja (Wallace Karia) yeye amekidhi vigezo vyote kwa hiyo yeye hakuwa na mgogoro na kanuni"

"Kwa upande wa waliotia nia kugombea ya ujumbe waliohudhuria zoezi la usaili ni watia nia 17, watia nia 10 wamekidhi vigezo vya awali vya kuingia kwenye uchaguzi wakisubiri mchato wa mapingizi"

"Wagombea saba waliobaki walikuwa na mgogoro na kanuni, maana yake hawakukidhi vigezo na masharti. Kama mtu hakuridhika na maamuzi ya kamati ya Uchaguzi ana haki ya kukata rufaa kwenye Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi ambayo ikifanya maamuzi inatuletea sisi ili tuendelee na mchakato,"alisema Kibamba

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
4h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
5h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’