Azam Fc yamtambulisha Manula

Joel JJ By Joel JJ β€’ 9th July 2025

Azam Fc yamtambulisha Manula

Klabu ya Azam Fc imethibitisha kukamilisha usajili wa aliyekuwa mlinda lango wa Simba Aishi Manula

Manula amesaini mkataba na Azam Fc ambao utamuweka Chamazi hadi mwaka 2028

Anatua Azam Fc baada ya kumaliza mkataba kunako klabu ya Simba aliyoitumikia tangu mwaka 2017

Manula ni kama amerejea nyumbani kwani alisajiliwa na Simba akitokea klabu hiyo mwaka 2017

More Stories

Artan kuchezesha Fainali ya CECAFA Kagame Cup 2026
Artan kuchezesha Fainali ya CECAFA Kagame Cup 2026
Today, READ MORE β†’
Mpanzu akabidhiwa majukumu ya Doumbia Simba
Mpanzu akabidhiwa majukumu ya Doumbia Simba
Today, READ MORE β†’
Hersi atamba, Yanga haijamaliza kusajili bado mmoja
Hersi atamba, Yanga haijamaliza kusajili bado mmoja
Today, READ MORE β†’
Ridhiwani Kikwete Ajiunga na Baraza la Wadhamini la Yanga
Ridhiwani Kikwete Ajiunga na Baraza la Wadhamini la Yanga
Today, READ MORE β†’
Yanga watangaza bajeti ya Bilioni 36 kwa msimu wa 2026/27.
Yanga watangaza bajeti ya Bilioni 36 kwa msimu wa 2026/27.
Today, READ MORE β†’
Rc. Chalamila atangaza kujiunga na wananchi katika mkutano mkuu wa Yanga.
Rc. Chalamila atangaza kujiunga na wananchi katika mkutano mkuu wa Yanga.
Today, READ MORE β†’
Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Today, READ MORE β†’
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Yesterday, READ MORE β†’
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Yesterday, READ MORE β†’
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Yesterday, READ MORE β†’