Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa taarifa rasmi kuhusu kufunguliwa kwa dirisha la usajili kwa timu za ligi kuu, Championship, Ligi daraja la kwanza, ligi ya vijana na ligi ya Wanawake
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, dirisha lilifunguliwa tangu Julai 1 2025 na litafungwa Septemba 07 2025






