Local,Transfer News,Azam

Himid Mao arejea Azam Fc

Joel JJ By Joel JJ
β€’
10 Jul 2025
Himid Mao arejea Azam Fc

Klabu ya Azam Fc imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo Himid Mao Mkami aliyekuwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba kunako klabu ya El Gaish ya Misri

Ni kama amerejea nyumbani kwani aliondoka nchini mwaka 2018 akiitokea Azam Fc na kujiunga klabu ya Petrojet ya Misri

Tangu wakati huo amecheza klabu kadhaa nchini Misri na hatimaye Azam Fc jana wakathibitisha kumsajili kwa mkataba wa mwaka mmoja kiungo huyo mwenye umri wa miaka 32 ambaye pia hucheza timu ya Taifa ya Tanzania

Himid anaungana na mlinda lango Aishi Manula ambaye ametambulishwa kurejea Azam Fc baada ya kuitumikia Simba kwa miaka nane

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
4h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
4h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
5h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
8h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
12h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
12h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
13h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
14h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
14h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
15h ago
READ MORE β†’