Hadi kufikia Ijumaa usiku, taarifa zilibainisha Simba ilikuwa kwenye mazingira mazuri ya kummiliki kiungo Balla Moussa Conté kutoka CS Sfaxien ya Tunisia baada ya kufikia makubaliano ya kumpa mkataba wa miaka miwili, lakini ghafla, Jumamosi asubuhi likaibuka jambo jipya.
Kilichotokea ni Yanga kuingia kati mazima na kumaliza dili moja kwa moja kwa kumpa mkataba wa miaka miwili, hivyo..... download Xtra 90 App



