Mpango wa Manchester United kumsajili mshambuliaji wa Brentford Bryan Mbeumo, 25, umekwama baada ya klabu hiyo ya London kuongeza bei yao hadi paini milioni 70. United haitaki kulipa zaidi ya Β£65m. (Guardian)
Liverpool wameanza mazungumzo na Eintracht Frankfurt kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa Hugo Ekitike, 23. (Sky Sports)
Hata hivyo, Newcastle United wanasonga mbele na jaribio..... download Xtra 90 App



