Local,Transfer News,

Kiungo Singida BS atimkia Algeria

Joel JJ By Joel JJ
β€’
19 Jul 2025
Kiungo Singida BS atimkia Algeria

Kiungo wa klabu ya Singida Black Stars Arthur Bada amekamilisha uhamisho wake kwenda klabu ya JS Kabylie, imefahamika

Bada ametua Kabylie baada ya kuitumikia Singida BS kwa msimu mmoja akitokea Asec Mimosas ya Ivory Coast

Anajiunga na timu hiyo baada ya Kabylie kununua mkataba wake wa mwaka mmoja uliokuwa umebaki na Singida BS

Bada ambaye mapema msimu huu aliingia kwenye mijadala mikubwa baada ya kudaiwa kubadili uraia wake na kuwa Mtanzania, pia alikuwa akihusishwa na klabu ya Yanga

Hata hivyo ni wazi mpango wa kujiunga na Wananchi utakuwa umegonga mwamba..

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
3m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
32m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’