Klabu ya Rayon Sports imethibitisha kuchuana na Yanga August 15 katika mchezo maalum wa kuadhimisha RAYON DAY. Mchezo huo umepangwa kupigwa katika uwanja wa Amahoro
Uongozi wa Rayon Sports ambao hivi karibuni ulikuwa nchini kuchota maarifa ya 'Transformation' kutoka kwa Yanga, wameanza matangazo ya mchezo huo






