Simba inatajwa kukamilisha usajili wa kiungo raia wa Senegal Alassane Kante (24) kutoka klabu ya CA Bizertin
Kante ndiye anayetarajiwa kuchukua nafasi ya Fabrice Ngoma ambaye alipewa 'Thank You' baada ya mkataba wake kumalizika
Kante ni kiungo wa kati ambaye pia anaweza kutumika kama kiungo mkabaji au mchezeshaji
Inaelezwa tayari Simba imekamilisha mchakato wa usajili wake na..... download Xtra 90 App



