Ni rasmi Klabu ya Simba imetambulisha usajili wa beki wa kati Rushine De Reuck kutoka klabu ya Mamelodi Sundowns
Rushine amejiunga na Simba baada ya kuvutiwa na project ya kocha Fadlu Davids. Alikuwa akiitumikia Maccabi Petah Tikva ya Israel kwa mkopo akitokea Sundowns
Rushine anatua kuchukua nafasi ya Che Malone Fondoh aliyejiunga na USM Alger





