Local,Normal News,Yanga, Simba

Yanga, Simba ni jino kwa jino usajili

Joel JJ By Joel JJ
β€’
2 Aug 2025
Yanga, Simba ni jino kwa jino usajili

Miamba ya soka nchini Simba na Yanga inaendelea kushindana katika kutangaza wachezaji wapya ziliowasajili kwa msimu ujao wa mashindano mbalimbali.

Simba jana walitangaza usajili mpya wa mshambuliaji raia wa Ghana Jonathan Sowah, aliyejiunga na miamba hiyo akitokea Singida Blackl Stars, alikomaliza msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara akiwa na mabao 13 baada ya kusajiliwa dirisha dogo.

Muda mchache baadae, Yanga nayo ikatambulisha usajili wa Celestine Ecua raia wa Ivory Coast, aliyechezea Asec Mimosas ya Ivory Coast kwa mkopo akitokea Zoman FC.

Nyota huyo alikuwa Mchezaji Bora wa ligi wa Ivory Coast msimu wa mwaka 2024/25.

Β 

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’