Local,Normal News,Singida, Azam

Singida BS, Azam Fc kuanzia ugenini CAF CC

Joel JJ By Joel JJ
β€’
9 Aug 2025
Singida BS, Azam Fc kuanzia ugenini CAF CC

Singida Black Stars itaanza kampeni ya Kombe la Shirikisho barani Afrika 2025/26, kwa kucheza na Rayon Sports ya Rwanda inayonolewa na kocha wa zamani wa Simba SC Robertinho.

Singida Black Stars itaanzia ugenini kisha itamalizia nyumbani Tanzania. Mshindi wa mechi ya Rayon Sports dhidi ya Singida Black Stars atakutana na mshindi wa mechi ya Flambeau Center ya Burundi dhidi ya mshiriki wa Libya (Libya 1).

Klabu ya Azam FC itaanza kampeni ya Kombe la Shirikisho barani Afrika 2025/26, kwa kucheza na Al Mereikh Bentiuya Sudan.

Azam FC itaanzia ugenini kisha itamalizia nyumbani Tanzania. Mshindi wa mechi ya Azam dhidi ya Al Mereikh Bentiu atakutana na mshindi wa mechi ya AS Port ya Djibout dhidi ya KMKM.

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
4m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
34m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’