Inaelezwa klabu ya Simba imefungua mazungumzo na KMC kwa ajili ya kumsajili kiungo mkabaji Ahmed Pipino, imefahamika
Pipino (20) yuko katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kinachoshiriki michuano ya CHAN inayoendelea katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda
Tayari Simba ina makubaliano binafsi ya kiungo huyo, akiandaliwa mkataba wa miaka mitatu





