Local,Transfer News,Simba, Azam

Simba yagonga mwamba kwa Fei Toto

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Aug 2025
Simba yagonga mwamba kwa Fei Toto

Jitihada za Simba kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji wa Azam Fc Feisal Salum 'Fei Toto' ni kama zimefika ukingoni baada ya mchezaji huyo kuamua kubaki Azam FC

Inaelezwa Fei Toto amekubali kuongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuwatumikia matajiri hao wa Chamazi

Simba na Azam Fc zilikuwa katika majadiliano ya muda mrefu kupata suluhu ya uhamisho wa mchezaji huyo lakini ni kama Azam Fc wamefanikiwa kumshawishi asalie

Simba iliupa kipaumbele usajili wa Fei Toto ili kuboresha safu yake ya kiungo cha ushambuliaji lakini sasa baada ya mpango huo kukwana, ni wazi itaendelea kumtegemea Jean Charles Ahoua katika eneo hilo huku usajili mpya Morice Abraham akitarajiwa kuongeza nguvu

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
5m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
34m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’