Wajumbe wa mkutano mkuu TFF wamempitisha Rais Wallace Karia kwa kumpigia kura za ndio kwa asilimia 100.
Karia alikua mgombea pekee wa nafasi wa Urais, kufuatia wagombe wengine kuenguliwa kwa kukosa vigezo vya kikanuni.
Ushindi huo unamfanya Karia aiongoze TFF kwa awamu ya tatu ya miaka minne



