Klabu ya Simba jana ilifanyika dua maalumu kuelekea msimu mpya wa mashindano 2025/26
Dua hiyo ilifanyika kwenye uwanja wa Mo Simba Arena na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwepo Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Murtaza Mangungu lakini pia Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi, Crescentius Magori, wajumbe wa bodi, viongozi wa dini na viongozi wa klabu wa zamani





