Ruben Amorim anakabiliwa na kipindi kigumu kama mkufunzi wa Manchester United, huku mechi tatu zijazo zikiamua iwapo atasalia kuinoa Old Trafford au la. (Daily Express)
Meneja wa Crystal Palace Oliver Glasner, mkufunzi wa zamani wa England Gareth Southgate, mkuu wa Fulham Marco Silva na Iraola wa Bournemouth ni miongoni mwa wanaoweza kuchukua nafasi ya Amorim iwapo Manchester United..... download Xtra 90 App



