International,Transfer News,

Tetesi za usajili Ulaya, Ijumaa Septemba 26 2025

Joel JJ By Joel JJ
β€’
26 Sep 2025
Tetesi za usajili Ulaya, Ijumaa Septemba 26 2025

Liverpool ina mataumaini kuwa itafanikiwa kumshawishi mlinzi wa Ufaransa Ibrahima Konate, 26, kusaini kandarasi mpya huku klabu za Arsenal, Chelsea na Manchester City zikimuwania. (TBR Football)

Kiungo wa Barcelona na Uholanzi Frenkie de Jong, 28, analengwa na Manchester United. (Football Insider)

Klabu ya Bayern Munich inajiandaa kumpa kandarasi ya muda mrefu mshambuliaji wa Senegal Nicolas Jackson, 24, ambaye kwa sasa anaichezea kwa mkopo klabu hiyo ya Ujerumani kutoka Chelsea. (Bild - kwa Kijerumani - usajili unahitajika)

Manchester United imefikia mkataba na Fortaleza kumsaini kiungo wa kati wa Colombia Cristian Orozco mwenye umri wa miaka 17 mara atakapofikisha umri wa miaka 18 mwezi Julai. (Athletic)

United pia wanatazamia kukamilisha dili la mlinda lango wa Derby Muingereza Charlie Hardy, 16. (Sun)

Newcastle ni miongoni mwa vilabu vinavyofuatilia hali ya kiungo wa kati wa Ufaransa Eduardo Camavinga, 22, ambaye anafikiria kuondoka Real Madrid. (Football Insider)

Arsenal inatarajiwa kusaini mikataba miwili na klabu ya Real Sociedad ya thamani ya pauni milioni 75 kuwasajili wachezaji wake wawili ambao ni winga wa Japan Takefusa Kubo, 24, na mlinzi wa Ufaransa Lucien Agoume, 23. (Fichajes - kwa Kihispania)

Chelsea imejiondoa katika kinyang'anyiro cha kumsajili kipa wa Italia Gianluigi Donnarumma, 26, anayeichezea Manchester kwa mkopo. (Teamtalk)

BBC

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
1h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
5h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
6h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
8h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
10h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
11h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
11h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
16h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’