Manchester City inajiandaa kuwasilisha ofa ya kumsajili mlinzi wa Crystal Palace na England Marc Guehi, 25, kabla ya uhamisho wa Januari wa wachezaji kukamilika, lakini huenda wasifikie bei ya zaidi ya pauni milioni 35 inayotakiwa na Palace. (Talksport)
Mkurugenzi wa michezo wa Bayern Munich Max Eberl amekuwa akipiga simu katika siku za hivi karibuni kujaribu kumshawishi Guehi ajiunge nao..... download Xtra 90 App



