Ahoua ajiunga na CR Belouizdad

Joel JJ By Joel JJ β€’ 22nd January 2026


Ahoua ajiunga na CR Belouizdad

Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba Jean Charles Ahoua amejiunga na CR Belouizdad ya Algeria.

Ahoua amesajiliwa na timu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili na nusu. Belouizdad wamenunua mkataba wake wa miezi sita uliokuwa umesalia na Simba.

Belouizdad tayari wamemtambulisha kiungo huyo aliyekuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya NBC 2024/25.


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.