International,Transfer News,

Tetesi za usajili Ulaya, Ijumaa Januari 23 2026

Joel JJ By Joel JJ
β€’
23 Jan 2026
Tetesi za usajili Ulaya, Ijumaa Januari 23 2026

Mshambuliaji wa Liverpool na na timu ya taifa ya Misri Mohamed Salah, 33, na Mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil Vinicius Jr, 25, wanatarajiwa kuwa walengwa wakuu Ligi Kuu ya Saudia msimu huu. (Telegraph - usajili unahitajika)

Wadadisi wa Saudi Pro League wanaamini Salah ataondoka Liverpool msimu huu wa joto. (i Paper - usajili unahitajika).

Klabu ya Inter Milan inavutiwa na kipa wa Tottenham Muitaliano Guglielmo Vicario, 29, inapojiandaa kuziba pengo lililoachwa na mchezaji wa kimataifa wa Uswizi Yann Sommer, 37. (Gazzetta - kwa Kiitaliano).

Klabu ya Crystal Palace imefanya mazungumzo na Wolves kuhusu uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa Norway Jorgen Strand Larsen, 25. (Talksport).

Manchester United iko tayari kujadiliana na kiungo wa kati wa England Kobbie Mainoo, 20. kuhusu kandarasi mpya (Sky Sports).

Chelsea inafikiria kumsajili kwa mkopo kiungo wa Brazil Douglas Luiz, 27, ambaye yuko Nottingham Forest kwa mkopo kutoka Juventus, kwa msimu uliosalia. (Athletic - usajili unahitajika).

Leeds na Sunderland huenda zikamkosa mshambuliaji wa Norwich City Josh Sargent. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Marekani mwenye umri wa miaka 25 ana nia ya kurejea Ligi Kuu ya Soka huku Toronto FC. (Teamtalk).

Arsenal inamuwania beki Iago Machado mwenye umri wa miaka 16 kutoka Corinthians ya Brazil. (Globo - kwa Kireno).

Roma na vilabu vingine kadhaa bado viko mbioni kusaka saini ya mshambuliaji wa wa Manchester United na Uholanzi Joshua Zirkzee, 24. (Florian Plettenberg).

BBC

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
47m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’