Shirikisho la Kimataifa la Takwimu na Historia ya Soka (IFFHS) limetangaza viwango vya ligi bora barani Afrika kwa mwaka 2025, takwimu zinazoonesha mwelekeo wa ushindani wa soka barani Afrika.
Katika orodha hiyo, Ligi Kuu ya Misri (Nile League) imeendelea kushika nafasi ya kwanza, huku Tanzania ikishuka kwa nafasi moja ikilinganishwa na msimu uliopita.





