Local,Transfer News,Singida, Dodoma, Coastal

Zambo atua Singida Black Stars

Joel JJ By Joel JJ
β€’
23 Jan 2026
Zambo atua Singida Black Stars

Klabu ya Singida Black Stars imekamilisha usajili wa beki wa kushoto Miraji Abdallah 'Zambo' kutoka klabu ya Dodoma Jiji.

Zambo ameitumikia Dodoma Jiji kwa miezi mitano akijiunga na timu hiyo katika dirisha lililopita kwa mkataba wa miaka miwili akitokea klabu ya Coastal Union.

Beki huyo pia alihusishwa kujiunga na Simba katika dirisha lililopita lakini mpango wa kujiunga na Wekundu hao wa Msimbazi ulikwama baada aliyekuwa kocha wa Simba wakati huo Fadlu Davids kugomea usajili wake akimtaka Anthony Mligo.

Singida BS inatajwa kuwa mbioni kuachana na walinzi wake wawili wa kushoto Gadiel Michael na Imoro Ibrahim nafasi zao zikichukuliwa na Zambo na Rahim Shomari.

Gadile huenda akapishana na Zambo akielekea Dodoma Jiji.

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
1h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
5h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
6h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
8h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
11h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
11h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
11h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
17h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’