Tetesi za usajili Ulaya, Jumapili Januari 25 2026

Joel JJ By Joel JJ
β€’
25 Jan 2026
Tetesi za usajili Ulaya, Jumapili Januari 25 2026

Klabu za Tottenham na Liverpool zinajadili kifurushi cha pauni milioni 5 katika dili la nahodha wa Uskoti Andy Robertson, 31. (Mail)

Wakati huohuo, The Reds wamefufua nia ya kumsajili mchezaji wa Fulham mwenye umri wa miaka 28 na beki wa Marekani Antonee Robinson. (Teamtalk)

Bournemouth inakaribia kukamilisha usajili wa mkopo wa mlinda mlango wa Lazio na Ugiriki Christos Mandas, 24, kwa Β£2.6m. (Fabrizio Romano)

Arsenal italazimika kutumia pauni milioni 80 kumsajili mshambuliaji wa Atletico Madrid na Argentina Julian Alvarez, 25, msimu huu. (Football Insider)

Sunderland wamewasiliana na Borussia Monchengladbach kuhusu uwezekano wa kumsajili mlinda lango wa Uswizi Jonas Omlin, 32. (Florian Plettenberg, Sky Germany).

Beki wa Ukraine Oleksandr Zinchenko, 29, bado anajadiliana na Arsenal kuhusu masharti ya kuondoka kwake kwenda Ajax kwa mkataba wa kudumu. (Sky Sports)

Crystal Palace inalenga kumsajili mchezaji atakayeshikilia kwa muda nafasi ya Marc Guehi, 25, aliyejiunga na Ma City kabla ya dirisha la uhamisho kufungwa. (Givemesport)

Lazio ina nia ya kupata mkataba wa Januari kumsajili kiungo wa kati wa Everton Muingereza Tim Iroegbunam, 22. (Gianluca Di Marzio - kwa Kiitaliano)

Chelsea na Aston Villa zinamfuatilia kwa karibu winga wa Paris St-Germain mwenye umri wa miaka 18 na Senegal Ibrahim Mbaye. (Florian Plettenberg, Sky Germany).

BBC

ADVERTISE HERE

More Stories

Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
17m ago
READ MORE β†’
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
40m ago
READ MORE β†’
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
1h ago
READ MORE β†’
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
2h ago
READ MORE β†’
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
2h ago
READ MORE β†’
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
5h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
7h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
8h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
8h ago
READ MORE β†’
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
10h ago
READ MORE β†’