Local,Transfer News,Simba

Loemba atambulishwa Msimbazi, ni usajili wa JayRutty

Joel JJ By Joel JJ
β€’
29 Jan 2026
Loemba atambulishwa Msimbazi, ni usajili wa JayRutty

Jana Simba ilitambulisha usajili wa nyota mwingine aliyesajiliwa na Wekundu hao wa Msimbazi katika dirisha hili.

Mapema, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ali alidokeza kuwa usajili huo umekamilishwa na mzabuni wa jezi kampuni ya JayRutty ikitimiza ahadi kwa Wanasimba.

Kiungo mshambuliaji Inno Jospin Loemba (21) kutoka klabu ya Colombe Sports ya Cameroon ndiye aliyesajiliwa na JayRutty

Baada ya utambulisho wake, Loemba anajiunga na kikosi cha Simba ambacho leo kitashuka uwanja wa Isamuhyo kuikabili Mashujaa Fc katika mchezo wa liigi kuu ya NBC.

Baada ya mchezo huo, Simba itaanza maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Esperance utakaopigwa Jumapili, Februari 1.

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
4h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
5h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
6h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’