Petro Atletico ya Angola leo itakuwa mwenyeji wa Simba SC katika mchezo wa raundi ya tano ya Kundi D ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), pambano litakalopigwa jijini Luanda huku kila timu ikiwa na hesabu zake tofauti kuelekea hatua ya robo fainali.
Mchezo huo unakuja wakati ushindani wa kundi hilo ukiwa bado wazi, huku matokeo ya mechi za leo yakitarajiwa kutoa taswira halisi ya timu..... download Xtra 90 App



