Shirika la Soka Barani Afrika (CAF) limekamilisha droo ya hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (TotalEnergies CAF Confederation Cup 2025/26) leo Jumanne, Februari 17, 2026, jijini Cairo, Misri.
Katika hafla hiyo iliyofanywa katika makao makuu ya CAF, vilabu nane vilivyofanikiwa kutoka hatua ya makundi vimepangwa kukutana katika mechi za mtoano ambazo zitaamua nani..... download Xtra 90 App



