Mechi za kombe la CRDB hatua ya 64 zinaendelea leo ambapo vigogo wengine wa ligi kuu ya NBC watakuwa uwanjani kusaka tiketi ya hatua ya 32 bora.
Mabingwa watetezi wa michuano hiyo Yanga watashuka uwanja wa KMC Complex kuikabili Cosmopolitan katika mchezo utakaopigwa saa 1 usiku.
Mapema JKT Tanzania wataumana na Pan Africa mchezo utakaopigwa saa 10 jioni kunako dimba la..... download Xtra 90 App



