Local,Normal News,Yanga, Simba, Azam, Fountain Gate, Singida BS

Kasongo ateuliwa Mkurugenzi timu za Taifa

Joel JJ By Joel JJ
β€’
28 Feb 2026
Kasongo ateuliwa Mkurugenzi timu za Taifa

Aliyekuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Almas Kasongo ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa timu za taifa Tanzania.

Kasongo ambaye alisimamishwa mwaka jana, ametangazwa leo Jumamosi, Februari 28, 2026 katika Mkutano Mkuu wa TFF ambao umefanyika Kahama, Shinyanga.

Aidha Baraka Kizuguto ametangazwa kuwa Mkurugenzi wa mashindano huku Oscar Mirambo akiendelea Kukaimu nafasi ya Katibu Mkuu wa TFF.

Mkutano Mkuu wa 20 wa TFF umefanyika leo Kahama mkoani Shinyanga ukiongozwa na Rais wa TFF Wallace Karia.

More Stories

Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
3h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
5h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
7h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
9h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
9h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
10h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
12h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
15h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
22h ago
READ MORE β†’
Wapinzani wa Simba, Mighty Wanderers kutua nchini leo wakitokea Malawi
Wapinzani wa Simba, Mighty Wanderers kutua nchini leo wakitokea Malawi
1d ago
READ MORE β†’