Local,Normal News,Singida, Simba

Obasogie kuanza na Simba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
8 Mar 2026
Obasogie kuanza na Simba

Jana klabu ya Singida BS ilitangaza kumsamehe mlinda lango wake Amas Obasogie ambaye awali alifungiwa kwa tuhuma za upangaji wa matokeo.

Kupitia taarifa iliyotolewa na klabu hiyo, Singida BS walitangaza kumsamehe baada ya kamati iliyofanya uchunguzi wa tuhuma zake kutobaini ushahidi wowote.

Obasogie amerejeshwa kikosini siku chache kabla ya Singida BS kuikabili Simba kwenye mchezo wa ligi kuu utakaopigwa March 11 uwanja wa Airtel huko Singida.

Anaungana na kiungo Khalid Aucho ambaye pia alisamehewa na klabu hiyo baada ya kuomba radhi. Aucho alisimamishwa kwa tuhuma za utovu wa nidhamu.

Nyota hao huenda wakawa sehemu ya kikosi kitakachoikabili Simba kwenye mchezo wa ligi kuu siku ya Jumatano.

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
7m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
36m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’