Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza orodha ya marefa kutoka Afrika watakaosimamia michezo ya Kombe la Dunia 2026, mashindano yatakayofanyika nchini Marekani, Canada na Mexico. Uteuzi huo unaonyesha kuongezeka kwa heshima na imani kwa waamuzi wa Afrika katika soka la kimataifa.
Kwa jumla, marefa nane kutoka Afrika wamechaguliwa kushiriki katika mashindano hayo makubwa ya soka..... download Xtra 90 App



