Leo Alhamisi, Machi 12, macho ya mashabiki wa soka nchini yataelekezwa katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, ambapo Tanzania Prisons watavaana na vinara wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga, katika pambano litakalopigwa saa 2:00 usiku.
Kabla ya kipyenga cha kuanza kupulizwa, tayari kulikuwa na drama kubwa kuhusu ni wapi hasa mchezo huo ungechezwa. Awali, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania..... download Xtra 90 App



