Morocco sasa wametangazwa kuwa washindi wa AFCON baada ya matokeo ya fainali kubatilishwa na CAF katika uamuzi wa kihistoria leo.
Senegal wametangazwa kupoteza mechi kwa kufungwa mezani huku Morocco wakipewa ushindi wa mabao 3-0 kwa mujibu wa taarifa rasmi!
MOROCCO NI MABINGWA RASMI!



