Local,Normal News,Taifastars,tff,africa

TAIFA STARS YATAJA KIKOSI, FIFA SERIES 2026.

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
β€’
18 Mar 2026
TAIFA STARS YATAJA KIKOSI, FIFA SERIES 2026.

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Miguel Gamondi ametangaza majina ya wachezaji 23 watakaoingia kambini Machi 23, 2026 kujiandaa na michezo miwili ya FIFA Series 2026, Kigali, Rwanda

Tanzania itashiriki 2026 FIFA Series Kigali, Rwanda, michuno inayotarajiwa kuanza March 26–30, 2026, uwanja wa Pele. Tanzania imepangwa kundi Group B pamoja na Liechtenstein, Aruba, na Macau

Mechi ya kwanza watacheza March 26, 2026, dhid ya Liechtenstein. Michuano hii iko ndani ya kalenda ya FIFA

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
4m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
33m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’