International,Transfer News,Manchester city, epl

PEP GUARDIOLA KUAMUA HATMA YAKE MAN CITY BAADA YA FAINALI

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
β€’
19 Mar 2026
PEP GUARDIOLA KUAMUA HATMA YAKE MAN CITY BAADA YA FAINALI

Kocha Pep Guardiola anatarajiwa kufanya uamuzi muhimu kuhusu mustakabali wake ndani ya Manchester City baada ya kukamilika kwa fainali ya Carabao cup dhidi ya Arsenal itakayochezwa Jumapili.

Kwa mujibu wa taarifa, kocha huyo Mhispania ataondoka kwa mapumziko mafupi mara baada ya mchezo huo, ambapo atapata muda wa kutafakari na kufanya maamuzi kuhusu hatma yake. Uamuzi huo unatarajiwa kubainisha kama ataendelea kuinoa City katika msimu ujao au la, jambo linalosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki pamoja na wadau wa soka duniani.

(Chanzo: MailSport)

Β 

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
37m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’