International,Transfer News,Chelsea, Bayern munich

Palmer awakatia tamaa Chelsea, Vigogo wamuwinda kimya kimya

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
β€’
30 Mar 2026
Palmer awakatia tamaa Chelsea, Vigogo wamuwinda kimya kimya

Kiungo mshambuliaji wa Chelsea FC, Cole Palmer, anaripotiwa kuanza kukata tamaa na maisha ndani ya klabu hiyo na huenda akatafuta kuondoka katika dirisha la usajili la majira ya kiangazi.

Taarifa zinaeleza kuwa Palmer hajafurahishwa na mabadiliko ya mfumo wa uchezaji wa Chelsea, chini ya kocha wao Liam Rosenior, akiamini kuwa umemnyima nafasi na uhuru wa kuonyesha uwezo wake uwanjani. Aidha, anakosa kucheza pamoja na mshambuliaji Nicolas Jackson, ambaye alikuwa akisaidia kufungua nafasi kwa kunyoosha safu ya ulinzi wa wapinzani na kumpa Palmer uhuru wa kucheza.

Inaelezwa pia kuwa Palmer anatamani kurejea katika mji wake wa nyumbani, Manchester, ingawa Manchester United kwa sasa wanaweka kipaumbele katika kusajili wachezaji wa nafasi nyingine tofauti.

Wakati huo huo, mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich wanaripotiwa kuonesha nia ya dhati ya kumsajili nyota huyo katika majira ya kiangazi, hatua inayoweza kuongeza ushindani mkubwa katika mbio za kuwania saini yake.

(Taarifa: Sun Sport)

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
48m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’